
47 views
Katika Makala ya Jasho Langu leo tunamwangazia Benson Matahiya, mkazi wa Kangemi hapa Jijini Nairobi ambaye Fundi wa simu na vifaa vingine vya kielectronic mfano Radio, Runinga na Tarakilishi. Mwanahabari wetu Silas Kembo alizungumza na Benson Matahiya, kuhusu ujuzi wake na changamoto katika kazi yake. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited