
291 views
Katika makala ya Tashtiti Ya Wiki, sarakasi za Kenya hazionekani kufikia kikomo. Iwe ni ngome za kisiasa au ubobevu wa lugha, wakenya wanajua kucheza kama wao! Askofu William amesema hata aitwe nini, hema la KK haliwezi kupigwa na mvua. Atawanyorosha wapinzani kabla ya jua kuchomoza! Mzee Oburu naye anajiita Gen Z mzee aliyesalia. Na hata ingawa yeye ni muumini, anasema tayari yeye ni - a man of 'two wives, one faith' Hili limekuwa juma lenye sarakasi za aina yake! Mwanahabari wetu Allan Wetungu anakupambia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited