
39 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaangazia kero la wakazi wa Nairobi. Iwapo wameridhika na utendakazi wa serikali ya Kaunti chini ya uongozi wa Gavana Johnson Sakaja ambaye ameponea kubanduliwa ofisini. Mwanahabari wetu Silas Kemboi amezungumza na wakazi hao. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited