
61 views
Katika Kitengo cha Kero Lako; Miaka 15 tangu kupitishwa kwa katiba ya sasa, Wakenya ao hao walioipitisha katiba hiyo sasa wanasema kwamba kuna yanayowakera kuihusu. Mwanahabari wetu, Kombo Alphayo amezungumza nao. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited