
268 views
Katika makala ya Tashtiti Ya Wiki, limekuwa juma jingine la kutupiana vijembe mitandaoni. Wenye hela na wasio na hela, wenye roho safi kama pamba na wasiojua pa kukimbilia baada ya semi zao. Yaani hili ndilo juma linalokufundisha umuhimu wa kufikiri kabla ya kusema. Waulize Feruzy na Bahati watakuambia. Siasani, Baba anasema hata mangapi yasemwe, 'he just don't care!'. Naye Wamunyoro anasema, Askofu William is a smart guy. Kinaya cha aina yake! Mwanahabari wetu Allan Wetungu, anatupambia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited