
147 views
Katika makala ya Tashtiti Ya Wiki, limekuwa juma la kupimana misuli kati ya machachari wa Kenya, na wazalendo wa Tanzania. Kisa na maana? - Soka! Na hasa ni nani mbabe wa kugaragaza timu ambayo si ya Afrika Mashariki. Thanks to the person who brought technology. Kingehama kisirani Kasarani, vikapu vya Wakenya vifike Uwanja wa Mkapa. Kwingineko, waheshimiwa wamememka baada ya nyumba yao kuitwa ya ufisadi. Askofu William, hataki mchezo kati ya pesa na kazi. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited