
92 views
Katika Kitengo cha Kero Lako; Tunaangazia hali ya baadhi ya maseneta na wabunge kulalamikia kauli ya Rais William Ruto ya kuwahusisha na ufisadi. Mwanahabari wetu, Robert Lokorwas amezungumza na wananchi kuhusiana na swala hili. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited