
85 views
Katika Kitengo cha Kero Lako , leo hii tunaliangazia kero la wananchi Kuhusiana na uwongozi kwenye Serikali za Kaunti hasa wakati huu ambapo Kongamano la Ugatuzi linaendelea katika Kaunti ya Homa Bay. Mwanahabari wetu wa Kaunti ya Uasin Gishu, Charity Papai amezungumza na wakazi wa kaunti hiyo kuhusu suala hilo wiki moja tu baada ya Kaunti ya Uasin Gishu kuorodheshwa ya kwanza katika ufisadi. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited