
91 views
Katika Makala ya Jasho Langu Riziki Yangu ambayo hujia kila siku ya Jumanne Saa moja asubuhi; Leo tunawaangazia Eunice Mnyika na Dora Walowe wanawake ambao wamejituma katika kazi za mjengo licha ya kwamba Eunice Mnyika ni fundi wa magari naye Dora Walowe ana ujuzi wa Ususi. Mwanahabari wetu Julius Mariki aliungana na wawili hawa wakiwa katika mjengo eneo la Wundanyi na kutuandalia Makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited