
37 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, tunaliangazia kero la ufisadi nchini huku Tume ya Maadili na Kukabili Ufisadi, EACC ikitoa ripoti kuhusiana na kukithiri kwa ufisadi nchni. Mwanahabari wetu wa Kaunti ya Vihiga, Arnold Adidi amezungumza na wakazi wa kaunti hiyo ambayo imeorodheshwa miongoni mwa kaunti zilizo na uwezekano wa kuitishwa hongo ili kupokea huduma mbalimbali. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited