
95 views
Katika Makala ya Jasho langu Riziki Yangu ambayo hujia kila siku ya Jumanne saa moja asubuhi Leo tunaangazia Rose Wanyabiti, Mkazi wa Kaunti ya Bungoma ambaye amejitosa katika ulingo wa ushonaji wa viatu, Kazi ambayo inaaminika kuwa ya Wanaume. Wanyabiti ambaye alikuwa mfanyikazi wa kuajiriwa alifutwa kazi wakati wa Koronà na akalazimika kuzamia ulingo huo. Mwanahabari wetu Wanji Sostine alitangamana naye na kutuandalia Makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited