
109 views
Katika Kamusi Mtaani leo hii tunaangazia: Je, kuna tofauti ya maneno soka, kabumbu na kandanda? Mwanahabari wetu Quinto Wafula amekitayarisha kitengo hiki. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited