
130 views
Katika makala ya Tashtiti ya Wiki, mambo yamechemka kwa vijana wenye uzoefu wa kubugia. Kuwa na umri wa miaka kumi na minane au ID sasa siyo licence ya kubugia. Umri ni miaka ishirini na mmoja. Na huko Malava, Western, ngoma ya ubunge inarindima kati ya Malala na Panyako. Kama kawaida, kila mmoja anavutia ngozi kwake. Na hata ingawa yupo Marekani, Wamunyoro anazidisha pilipili machoni mwa wakosoaji wake. Mwanahabari wetu Allan Wetungu anakupambia makala haya. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited