
113 views
Katika Kitengo cha Kero Lako, leo hii tunaliangazia kero la wananchi wa Kenya kuhusiana na marufuku ya Tanzania kwa biashara mbalimbali zinazoendelezwa na raia wa mataifa ya nje nchini humo. Mwanahabari wetu Julius Mariki wa Kaunti ya Taita Taveta Iinayopakana na taifa la Tanzania amezungumza na wakazi kuhusiana na swala hili. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited