
130 views
Leo hii kwenye Karubandika: Nilienda kwa muuzaji wa mitumba nikanunua nguo na wakati alikuwa ananipackia nikakuwa busy kwa simu. Nilipofika nyumbani nilipata kwamba alikuwa amenifungia nguo zilikuwa kama zimechomwa, hivyo nikapoteza nguo nilizonunua pamoja na pesa. #RhumbaFix #HapaNdipo Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited