
173 views
Leo tunamwangazia Mildred Anyango mkazi wa Kijiji cha sidindi katika Kaunti ya Siaya ambaye ndiye mama wa pekee anayejihusha na biashara ya kuuza maji akitumia Rukwama. Mwanahabari wetu wa Busia Seth Ngero ametuandalia Makala haya. Edited & Uploaded by Martha Oundo Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited