
690 views
Hii Si Ya Kusahau! "Siku babangu alikufa familia yangu ilinificha. Niliposkia, niliambia caretaker anifungulie gate naenda Homa Bay kuona babangu. Sijui angenifungulia ingekuwaje sababu nilikuwa nimechanganyikiwa huo wakati," journalist Morin Odira recounts. Edited & Uploaded by Martha Oundo Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited