1,066 views
Baze 47 on Radio 47
Aired 26 Jun 2025
5:54
Watanzania hivi sasa wanaonekana kufuata mfano wa Gen Zs wa Kenya wakicomment 'No reforms, no elections' kwa kila post anayoweka Wema Sepetu akipongeza na kuwajulisha kuhusu utendakazi mzuri wa Rais wao Samia Suluhu Hassan.