
767 views
Ulikuwa backbencher shuleni ama bookworm? Wakati wengine walikuwa mbele wakijibu maswali ya mwalimu kila dakika, wewe ulikuwa nyuma ukibonga na marafiki, ukisubiri tu kengele ipigwe? Ama ulikuwa yule wa daftari safi, kalamu tatu za rangi, na macho yote kwa ubao? Kila darasa lilikuwa na aina hizi mbili — wale waliokuwa na vituko na wale waliokuwa na vitabu. Wewe ulikuwa upande gani?