
64 views
Radio 47 inaungana na mashirika yote ulimwenguni katika kutambua na kuunga mkono harakati za kupinga ukatili wa kijinsia kwa makundi yote ikiwemo wanawake, wanaume na watoto. Shirikiana nasi katika siku 16 za kuendeleza juhudi za kupinga ukatili wa kijinsia. Pamoja Tutokomeze Ukatili wa Kujinsia. Pata usaidizi kwa kupiga simu bure katika kituo cha usaidizi wa masuala ya kijinsia kupitia namba 1195, au namba ya usaidizi kwa watoto 116 au kuripoti kwa DCI bila kujitambulisha kupitia namba 0800 722 203. #Tuzungumze #16DaysOfActivism #EndGBV #ActNow