
2,552 views
4 Jun 2026
Kuna namna watu huomba kabla ya kula, lakini Tom Daktari ameileta kwa mtindo wa kipekee kabisa! 😂 Katika segment hii ya Churchill Show, Tom Daktari anatuvunja mbavu akionyesha tofauti za maombi ya chakula kulingana na hali na mazingira. Je, wewe maombi yako ya chakula yakoje? Watch more hilarious clips from Tom Daktari: Your Mother Taught You This Tom Daktari Churchill One Thing I Learnt From My Mother Tom Daktari Subscribe to Churchill Television for your daily dose of laughter! #ChurchillShow #TomDaktari #Comedy #Kenya #LaughIndustry #MaombiYaChakula