1,406 views
Maskani 47 on Radio 47
Aired 26 Sep 2023
2:27
Msanii Kelechi Africana ametoa sababu inayomfanya Bahati ajikute kwenye matatizo mengi ya "copyright". Kelechi amesema kuwa Bahati amekuwa akiiba nyimbo za wasanii wengine mtandaoni.