746 views
Breakfast 47 on Radio 47
Aired 22 Sep 2023
1:12
#Radio47FunFriday Kwa ukaribu nimekuwa nao na Baba Raila Odinga hatujawai mzungumzia Mp. Jalang'o ata kidogo. Kwa ukaribu wangu na Baba Raila Odinga tulizungumza kuhusu maandamano na uamuzi wangu kuhusiana na kupigania maslahi ya Wakenya.