
284 views
Nominated Senator Karen Nyamu aelezea jinsi amejaribu kupangia mambo ya roho nakushindwa , na kusema kuwa sheria yetu nchini inaruhusu polygamus marriage, si lazima mmoja aondoke ndo mwengine abaki. "Nimejaribu kupangia mambo ya roho nikashindwa, na isitoshe sheria yetu inaruhusu polygamus marriage," aliezea Nyamu katika mahojinao na #MwashumbeNaMwakideu. Itakumbukwa kuwa Nyamu yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki Samido ambaye tayari alikuwa na mke na watoto watatu.