
2,044 views
"Engin Fırat afunganye aende!" Fred Arocho asema kuwa timu ya taifa #HarambeeStars imecharazwa na South Sudan kwenye mechi ya kirafiki ugani Stadium kwa sababu iliwadharau wageni hao. Pia, Arocho amesema kocha wa timu hio Engin Firat anapaswa kujiuzulu.