23,900 views
Mchikicho on Radio 47
Aired 12 Sep 2023
6:55
Seneta Edwin Sifuna asema kuwa, Watu wanapigia mgombeaji kura, kwa sababu wanajua hicho chama kwa muda mrefu, kuliko wanavyo mjua mgombeaji kwa mfano , Mheshimiwa Phelix Odiwuor, maarufu kama Jalang'o.