693 views
Maskani 47 on Radio 47
Aired 11 Sep 2023
7:52
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba asema kuwa Kocha wa Harambee Stars Engin Firat hajalipwa mshahara wake kwa sababu Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) halijaipa wizara ya Michezo kandarasi yake.