339 views
Maskani 47 on Radio 47
Aired 29 Aug 2023
30:28
Msanii kutoka pwani Dogo Richie amemchana aliyekuwa gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho kwa kuwalipa wasanii kutoka Kenya hela kidogo ikilinganishwa na wenzao kutoka Tanzania kipindi alimokuwa ofisini.