768 views
Baze 47 on Radio 47
Aired 29 Aug 2023
1:51
Msanii kutoka pwani Dogo Richie asema kuwa mtangazaji Mzazi Willy Mtuva ambaye ni mjomba wake alikuwa mtu wa kwanza kabisa kumkabidhi shillingi KSh250,000 kama msanii.