
37 views
Rais William amesisitiza kuwa Serikali yake inapanga kupunguza gharama ya maisha kupitia kwa mpango wa kuwapiga jeki wakulima nchini kwa kuwapa mbolea ya bei nafuu ili wazalishe chakula zaidi. SMS line: 24047 Calls: 0793047047 WhatsApp: 0719739487