1,028 views
Radio 47 Highlights on Radio 47
Aired 19 Aug 2023
3:59
Mwanahabari Alex Mwakideu amefichua kuwa kituo cha Milele FM hakikutaka kumwachilia ila alihisi wakati wake huko ulikuwa umekwisha. "Hawakuwa wanataka nitoke na kulikwa na vuta nikuvute nyingi sana; niliwaelezea sio maswala ya hela."