
183 views
Mwenyekiti wa klabu ya Kakamega Homeboyz Cleophas Shimanyula asema kuwa wachezaji wengi kutoka nje ya nchi sio watu wazuri. "Bila pesa hakuna mpira mzuri unaweza chezwa. 97% ya wachezaji wetu lazima wakue Wakenya kwa sababu foreigners wengi wanakujanga Kenya ni gold diggers," Cleophas Shimanyula