47 views
Radio 47 Highlights on Radio 47
Aired 22 Jul 2023
8:21
Shirikisho la soka nchini FKF limeomba CAF kuwekea Kenya nafasi yake kwenye michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika. FKF imeomba CAF ikubali Tusker kuchukua nafasi hiyo iwapo Gor Mahia itaondolewa, CEO Barry Otieno asema. #