53 views
Baze 47 on Radio 47
Aired 21 Jul 2023
11:17
Msanii wa ngoma za Amapiano Cartoon 47 amedai kuwa wasanii wa Kenya wana kiburi kuliko wa Tanzania na South Africa. Cartoon alikuwa anazungumza kwenye show ya #Baze47NaManucho leo hii mchana alipokuwa na Jobe London kutoka Afrika Kusini.