2,499 views
Radio 47 Highlights on Radio 47
Aired 18 Jul 2023
24:56
Hio jana, Henry alimleta bibi yake mbele ya Mwenyekiti DR Ofweneke baada ya kugundua kuwa mtoto wake wa kwanza alizaliwa na Mark. Leo, Mark amesema Jemima, mkewe Henry ndiye aliyejileta kichinjioni.