47 views
Baze 47 on Radio 47
Aired 12 Jul 2023
12:06
Voke, aliyekuwa mwigizaji wa beba beba aelezea jinsi alivyoanza safari yake ya usanii, asema; "Siri ya maisha ni kucheka sana. Tafta kitu chochote kinakufurahisha ucheke."