
653 views
Yusuf Kombo almaarufu Susumila aelezea kiini cha utajiri wake: "Nimefanya mambo mengi sana ambayo niliyatamani nilipokuwa naanza kuimba. Sasa hivi naingiza pesa kutoka Youtube, ring back tones na biashara. Sasa hivi naweza kuishi vyema bila kufanya show." #BillyNaMbaruk