
277 views
Mwanamuziki maarufu kutoka Kibera, Stevo Simple Boy amevunja kimya chake baada ya usimamizi wake, MIB kusitisha mkataba wake na kampuni hiyo na sasa amefichua kuwa atajisimamia. Stivo amesema kuwa sasa atajiwakilisha yeye mwenyewe akisaidiwa na mke wake na marafiki wake watatu.