
119 views
Kwenye video hii, Cassypool anazungumzia kuhusu vurugu iliyotokea mjini Eldoret wakati wa kushoot video ya muziki wake mpya. Bamdogo ni msanii mkongwe wa Gospel amefanya ngoma kama Vitu vidogovidogo na Anakutumia hio ni latest. Casspool alikuwa influencer kwenye mziki wake mpya.