
64 views
Msanii wa nyimbo za injili nchini Kenya BOSS MOG amesimulia safari yake ya mziki tangu akiwa darasa la nane. Boss pia anafichua jinsi siku moja alipigwa risasi mtaani korogocho jijini Nairobi akiwa na umri wa miaka kumi na minane nje ya kanisa moja.