5,691 views
Radio 47 Highlights on Radio 47
Aired 30 May 2023
22:25
UKIACHWA ACHIKA: Pastor Wesonga akiri kulala na Imelda, mkewe Japheth kila siku ya jumapili. Imelda amekuwa akimtekeleza mumewe Japheth ambaye wamezaa mtoto mmoja naye.