
666 views
Eliud Wekesa almaarufu kama Yesu Wa Tongaren afichua kuwa alikuwa na wezi wawili alipokuwa jela katika kaunti ya Bungoma. Yesu amefichua tena kuwa yeye hatumii mihandarati wala bangi na kuwa amekuwa akizungumza na Mwenyezi Mungu mara kwa mara.