
96 views
Albanus Kiswili alishinda KSh300,000 mechi baina ya Manchester United na Sevilla baada ya kubashiri sare ya 2-2. Lucky Herriano alibashiri ndipo mechi baina ya Arsenal na West Ham! Je, nani ubashiri wake utagonga ndipo leo hii kwenye mechi baina ya Chelse na Real Madrid? @alikauleni #CHERMA #UCL