Mwanafunzi mmoja Nyamira ajaribu kumvamia mwalimu wake kwa panga

  • | K24 Video
    Mwanafunzi wa shule ya upili Nyamira ameKatwa kwa kujaribu kumshambulia mwalimu kwa panga siku moja baada ya mwanafunzi mwingine kukamatwa Kisii kwa kuwadunga kisu walimu wawili. Mwanafunzi wa Kisii ameshtakiwa kwa jaribio la mauaji na kupewa dhamana ya shilingi elfu 50 taslimu.