
53 views
Viusasa kwa ushirikiano na Inooro FM inakuletea roadshow motooo ya mwaka – JIPANGE NA VIUSASA MASHINANI! 🔥 Kuanzia Jumatano, Oktoba 15 hadi Jumamosi, Oktoba 18, tutakuwa tukizunguka miji yote kutoka Flyover hadi Nairobi tukikuletea: 🎶 Burudani kali! 🎁 Zawadi kemkem! 💰 Mamilioni ya pesa za kushinda! 👉 Kuna KSh 50,000 kila siku, KSh 200,000 kila wiki, na GRAND PRIZE ya KSh 2,000,000! 💵 🗓 Ratiba Yetu ya Safari: 15 Okt – Flyover ➡️ Njabini ➡️ Engineer ➡️ Mawingu ➡️ Miharati ➡️ Wanjohi ➡️ Olkalou 16 Okt – Nyahururu ➡️ Maili Saba ➡️ Rumuruti ➡️ Oljabet 17 Okt – Mairo Inya ➡️ Narumoru ➡️ Nanyuki ➡️ Mweiga 18 Okt – Nyeri ➡️ Karatina ➡️ Kerugoya ➡️ Kutus ➡️ Kagio ➡️ Makutano ➡️ Nairobi 🎤 Burudani itatolewa na wasanii Tonny Young na Joyce wa Mamaa, pamoja na watangazaji wako wapendwa wa Inooro FM: Jeff Kuria, Joy wa Macharia, Mwalimu Muchwe, Karwimbo Mukurinu, Johnarto Gikonyore & Kimiti wa Gitau! Ni wakati wa kujipanga, kuburudika na kushinda! 🙌 #JipangeNaViusasa