Hisia kuhusu hotuba ya rais

  • | K24 Video
    Baadhi ya viongozi pamoja na wakenya kwa jumla wameelezea hisia zao kuambatana na mabadiliko katika baraza la mawaziri yaliyofanywa na rais Uhuru Kenyatta hii leo. Huku viongozi wakiunga mkono hatua hiyo baadhi ya wananchi wanahisi kwamba kuna mengi yenye umuhimu kwa wakenya yanayoweza kuboresha maisha yao.