
206 views
#Shangilia na #QueenSola prt. 1 #Queen sola Songs #Msalaba #TumekujaKukuabudu Karibu sana kwa mahojiano maalum na mwana muziki wa injili mtajika Queen Sola anapotoa ushuhuda na safari yake kama mhuduma wa injili kupitia kwa nyimbo za kuabudu na kumsifu Bwana.