38 views
Hope FM Highlights on Hope FM
Aired 20 Jul 2020
5:55
Amebuni na kutengeneza kitanda kwa umakini zaidi, na kina uwezo wa kumlaza mgonjwa na hata kumminua kwa umakini, na yule anaye-muhudumia mgonjwa husika. Pia kimetengenezewa meza ya kusongeshwa, anayowezakutumia mgonjwa wakati wa maankuli.