
194 views
Wasee Kanairo sana sana Eastlando wanabonda juu kuna unga ya mbese sana sana ile ya oss. Juu ya hio riba gava imedai inawasakanya kampu za Unga wenye wanaficha unga hadi pakuwe na shortage kwa mashops na supa, nan i after Uunye alizipunguza hadi inganga. Kulingana na CS wa Agrics, Peter Munya, ati ni mboka ya hizo makampu kuficha Unga. Mutaratara mtaani ni ati kuna wenye wanageuza mapacks na kuadisia bei Wasee mtaani wanasuffer kusakanya Unga, kwanza vile wasee wanadai kustock kabla elections. Tune in every weekday 6AM, 9AM, 3PM and 6PM on #GhettoRadio for #ShengNews decoded by Nicanory Muhando Follow us on Facebook https://www.facebook.com/Ghettoradio Follow us on Twitter https://twitter.com/GhettoRadio895 Follow us on Instagram https://www.instagram.com/?hl=en