
1 view
Mbunge wa eneo bunge la Webuye mashariki Martin Wanyonyi amepeana basi mpya kwa shule ya upili ya Makuselwa. Ametumia fursa hiyo kuwakashifu baadhi ya wabunge walioko serikalini ambao wameanza kuonekana na viongozi wa upinzani.#Amacheni #MulembeFm